Mwaliko kwa waandishi wote wa habari leo saa tano kamili asubuhi


Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Balozi Dkt. Jilly Maleko, atazungumza mubashara na vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom leo siku ya Jumatano, 26/10/2022 saa 5 kamili asubuhi,
ID: 860 2369 5635 
CODE: 194685

Post a Comment

0 Comments