OKTOBA 10 YA KESHO:Usikose kufahamu Yaliyojiri na Mafanikio ya Ziara ya Rais Samia nchini Qatar

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano muhimu na maalum utakaofanyika Jumatatu ya Oktoba 10, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.

Mada;Yaliyojiri na Mafanikio ya Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan nchini Qatar

Muda ukifika saa 5 kamili asubuhi,Jumatatu ya Oktoba 10, 2022 utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3e84eG4

Au kupitia
Meeting ID: 890 3113 0378
Passcode: 812050

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news