Mume alitaka kuminya haki zangu, sasa amesalimu amri

NA MWANDISHI WETU

KITENDO cha kuachika katika ndoa ni jambo ambalo linatokea katika jamii zetu kila kukicha,kuachana na mpendwa wako kunasababishwa na kutoelewana baina ya wahusika wawili.

Getty Images.

Swali ni je? Muda gani umeishi na huyo mpendwa wako? Vitu gani ukiachana na mpendwa wako utapoteza?, Ukishapata majibu sahihi ndiyo utagundua kuwa mahusiano yana maana sana katika maisha ya binadamu.

Pia utafahamu kuwa, kitendo cha kuachana na mpendwa wako ni jambo ambalo linakupatia kidonda moyoni mwako kamwe hakiwezi kupona.

Mimi naitwa Rosemary nina umri wa miaka 50 kazi yangu ni mwalimu wa sekondari,mume wangu anaitwa Aivan ana umri wa miaka 58 naye ni mkuu wa shule ninapofundisha,nina miaka 20 nikiwa na Mr.Aivan tukiwa katika ndoa, ndani ya hiyo miaka tuliweza kununua shamba kwa ajili ya kilimo kijini kwao. Tumejanga nyumba za kupangisha nne pamoja na tumeshirikiana kujenga nyumba ambayo tunaishi kwa sasa.

Nilichukua mkopo benki na yeye alichukua mkopo pia kwa ajili ya kuandaa maisha yetu baada ya kustaafu.Pesa hizo ndiyo tulitumia kufanya hivyo vitu na kununua usafiri wa kutembelea, maisha yalikuwa mazuri ila tu baada ya kufanya hivyo vitu mume wangu alianza kubadilika na kujingamba kuwa mimi sina chochote kile.

Alifanya hivyo kwa sababu nilipopokea pesa ya mkopo nilimkabidhi mume wangu, hivyo kila kitu kilikuwa kwa majina yake.

Majigambo na maneno machafu kutoka kwa mume wangu yalininyima amani kazini pamoja na nyumbani pia.Kila nikiuliza kitu chochote kuhusu nyumba zetu sipati jibu lolote,hadi ikafika hatua mimi napanda pikipiki kwenda kazini yeye anaenda na gari, hataki kunipakia katika gari hata tukiwa tunarudi kutoka kazini yeye anapakia marafiki zake mimi ninapanda bodaboda kurudi nyumbani.

Mwenendo wa maisha hayo ulikuwa mgumu sana kwa sababu ni maisha ambayo sikuzoea,nilivyokuwa nafikiria kuanzisha maisha yangu pekee natazama upande wa pili kitu gani naweza kufanya wakati nina mkopo benki, kila mwezi wanakata pesa katika akaunti yangu.

Nyumba tulizojenga mume wangu hataki nipate hata shilingi mia,siwezi kuolewa tena, kwani nimeishazeeka, maswali hayo yote yanifanya nitafute usaidizi kwa ajili ya kubaki na mume wangu pia nipate matunda ya jasho langu.

Siku moja nikitazama mitandaoni niliona habari ya mtu anatoa ushuhuda jinsi alivyosaidiwa kupata cheo kazini kwake baada ya kufanya kazi kwa miaka 30 bila kupata cheo chochote ila Dr.Kiwanga alimsaidia,nilizidi kusoma ushuhuda wake ndipo niliona kaweka namba ya Dr.Kiwanga ambayo ni hii +254 769404965 na tovuti.

Moja kwa moja nilitembelea website yao ili niweze kutambua wanapatikana wapi,pia namna gani ninaweza kupata usaidizi ndipo niliona kuwa kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali kama,kupata kazi,nguvu za kiume,shida za kupata mtoto,kusafirisha nyota,kurudisha mpenzi na kurudisha upendo na amani katika familia. Nilivyoona hivyo nilichukua simu yangu na kumpigia Dr.Kiwanga ili niweze kupata usaidizi wake.

Niliongea na Dr.Kiwanga na kumwambia nahitaji kufika ofisini kwake Nakuru. Dokta alinikubalia na baada ya wiki mbili niliweza kufika ofisini kwake Nakuru-Kenya nikapata matibabu kwa siku mbili, kisha nikarudi tena nyumbani. Dr.Kiwanga aliniambia kuwa wiki hiyo hiyo ambayo nimepata matibu,majibu yangu ntayapata kwa wiki hiyo hiyo.

Kabla ya wiki haijaisha mume wangu aliniomba msamaha na kuniambia kuwa nianze kusimamia mali zetu.Nilifarijika sana moyoni mwangu kusikia maneno kama hayo yanatoka kwa mdomo wa mume wangu.

Na kwa sasa mume wangu ananieshimu na kunipenda kama mwanzo tulivyokuwa tumeoana. Asante kiwangadoctors kwa kunitatulia shida yangu ambayo nilishindwa kupata ufumbuzi wake kwa muda mrefu.

Hakika wanawake ni jukumu letu kulinda familia zetu na si kuachika katika ndoa,kitendo cha kuachika katika ndoa si mwafaka sahihi.Unaweza kuwasiliana na Dr.Kiwanga kwa namba ya simu +254 769404965 kwa usaidizi wa haraka.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news