Nilimrudisha mchumba wangu Yusufu kirahisi tu

NA MWANDISHI WETU

KWA majina naitwa Aisha Hamisi,nina umri wa miaka 24.Ninafanya biashara ndogo ndogo katika Mkoa wa Dar es Salaam Mtaa wa Kariakoo.

Biashara yangu ni kuuza nguo za kike na kiume hapa Kariakoo. Kazi yangu inanisaidia kuendesha maisha yangu ya kila siku hapa Dar es Salaam.

Siku moja nikiwa kazini kwangu nilikutana na kijana mmoja anaitwa Yusufu. Yusufu alianza tabia ya kuja kunitembelea kazini kwangu mara kwa mara na mwisho wake tukapeana namba za simu na kuanza kuwasiliana.

Siku zilivyokuwa zinasonga ndio jinsi mawasiliano yangu na Yusufu yalizidi, hatimaye tukawa wapenzi na baada ya miezi mitatu kuisha tukiwa kwenye mahusiano.
 
Yusufu aliniomba tuwe wachumba bila kusita nilikubali kwa haraka maana nilimpenda sana Yusufu.

Mahusiano yangu na mchumba wangu Yusufu yalizidi kupamba moto,hatua hiyo ilisababisha ndugu na jamaa kuweza kumfahamu Yusufu.

Kulingana na mipango yetu tulikubaliana kuwa mwezi wa tano 2019 tuweze kuoana,kwa upande wangu niliona kuwa siku hazisogei kulingana na mawasiliano yangu na mchumba wangu Yusufu yalivyokuwa na mipango tuliyokuwa tunapanga juu ya maisha yetu baada ya ndoa.

Mwezi mmoja kabla ya ndoa kufika,mchumba wangu alianza kubadilika bila sababu,ilifikia hatua nampigia simu hapokei na muda mwingine natuma meseji asubuhi ananijibu jioni au kutojibu kabisa.

Kulingana na mazoea niliyokuwa nayo ya kuongea na mchumba wangu nilishindwa kuvumilia tabia hiyo. 
 
Kwa wakati huo nisingeweza kukutana na Yusufu kwa sababu muda huo alikuwa amerudi kwao Mkoa wa Mwanza na mimi nipo Dar es Salaam.

Nilijikuta natoa machozi na kuongea pekee yangu mara kwa mara nikijiuliza kwa nini Yusufu kabadilika kiasi hicho na sikuweza kupata majibu kwa muda huo.

Mawasiliano yetu yalizidi kuwa mabaya zaidi kila kukicha,ikanibidi nimwambie rafiki yangu Fatuma juu ya hali niliyonayo na ninavyojisikia.

Rafiki yangu alishtuka sana na kuniuliza sababu za Yusufu kubadilika, hata sikuwa na jibu la kumwambia,Fatuma akaniomba namba ya Yusufu na kumpigia alipokea simu vizuri na kuongea na Fatuma.

Fatuma alipomuuliza juu ya mahusiano yangu na yeye na wapi nimemkosea au kumkwaza hapo hapo alikata simu hata bila kumjibu chochote.

Moyo wangu uliniuma sana na kuanza kutoa machozi, ndiyo Fatuma akaniambia kuwa kuna Dokta Kiwanga yupo nchi jirani ya Kenya.

Hapo hapo akampigia rafiki yake anaishi Manzese na kumuomba namba ya Dokta Kiwanga. Baada ya dakika tano rafiki yake Fatuma akatutumia namba hii +254 769404965 nikaweka katika simu yangu na kupiga.

Simu yangu ilipokelewa kisha nikajitambulisha, Dokta akaniuliza nahitaji kusaidiwa nini,bila kusita nikaeleza mahusiano yangu na Yusufu na alivyonibadilikia na kumuomba Dokta anisaidie maana tarehe na mwezi tuliyokuwa tumekubaliana kufunga ndoa ilikuwa karibu.Hapo hapo kwa simu Dokta akaniambia nisubiri dakika 35 nimpigie simu tena.

Baada ya dakika 35 kuisha nilipiga simu na Dokta akaniambia kuwa kazi yangu itafanyika kwa siku mbili na ndani ya hizo siku akaniomba nisimpigie simu Yusufu wala kutuma meseji.

Nakumbuka ilikuwa siku ya pili saa tano asubuhi nikaona simu yangu inaita nilivyopokea nikasikia sauti ya Yusufu.

Moyo wangu ulishtuka sana pia kuwa na furaha muda huo.Ndiyo Yusufu akaniomba msamahaa kwa kila jambo lililotokea hapo nyuma pia akaniambia yupo njiani anarudi Dar es Salaam.

Bila kupoteza hata dakika tano nilimpigia Dokta na kumwambia hali halisi ilivyo na jinsi mchumba wangu alivyopiga simu na kuomba msamaha.

Baada ya nusu saa Yusufu akanipigia simu tena na kuniambia kuwa kanitumia 500,000 kwa namba yangu ya Vodacom kwa ajili ya maandalizi ya baadhi ya vitu niliyokuwa nimemwambia hapo mwanzo. Moyo wangu ulijaa furaha na kumpigia tena Dokta Kiwanga juu ya pesa niliyopewa kwa ajili ya maandalizi ya harusi.

Katika maongezi dokta akaniambia ana uwezo wa kusaidia mtu popote alipo hata bila kufika ofisini kwake pia akasema anatatua shida kama kurudisha mpenzi,kupata cheo kazini,kushinda kesi mahakamani,kusaidia watu ambao wana visirani na mikosi katika maisha yao pia kutatua changamoto zilizopo ndani ya familia.

Natanguliza shukurani zangu za dhati kwa Kiwanga Doctors kunisaidia kumrudisha mchumba wangu pia furaha ya moyo wangu bila kusahau kutoa shukurani zangu kwa rafiki yangu Fatuma kwa kusimama na mimi kwa shida na raha.

Kumbuka unaweza kumpata Dokta Kiwanga pia kwa kupigia namba au WhatsApp +254 769404965 na utapata usaidizi wa haraka.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news