Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ashiriki Mkutano wa Kimataifa wa Tanzania Energy Cooperation Summit

NA MWANDISHI WETU

MKURUGENZI Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy ameshiriki Mkutano wa Kimataifa wa Tanzania Energy Cooperation Summit uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Akiwa ni mmoja wa Wazungumzaji katika Mada iliyohusu Umeme Vijijini, Mkurugenzi Mkuu ameelezea mipango ya REA katika kupeleka umeme kwenye vitongoji vyote nchini pamoja na dhamira ya kuhamasisha na kuwezesha upatikanaji wa nishati safi ya kupikia.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news