WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA TISA CHA KAMATI KUU YA TAIFA YA SENSA YA WATU NA MAKAZI


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao hicho kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere Internation Centre (JNICC) tarehe 25 Februari, 2023 Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. George Simbachawene akizungumza wakati wa kikao cha Tisa cha Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kilichofanyika.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. John Jingu akizungumza wakati wa kikao hicho.
Baadhi ya Makatibu Wakuu wakifuatilia kikao cha kikao cha Tisa cha Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kilichofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere Internation Centre (JNICC) Februari 25, 2023 Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye akiteta na Katibu Mkuu wake Dkt. Jim Yonazi wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022.
Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa (kulia) akiteta jambo na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. John Jingu wakati wa kikao hicho.Kushoto ni Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Zanzibar Mhe. Balozi Haji Hamza.(Picha na OWM).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news