Waziri wa Finland atembelea Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

WAZIRI wa Masuala ya Uchumi nchini Finland, Bw. Mika Lintilä, akiambatana na Balozi wa Finland nchini Tanzania, Mhe. Theresa Zitting, ameitembelea BoT na kupokelewa na Manaibu Gavana, Bw. Julian Banzi Raphael na Dkt. Yamungu Kayandabila.




Katika ziara hiyo, Mhe. Lintilä amepata fursa ya kukutana na wataalamu kutoka Kurugenzi na Idara mbalimbali za BoT na kufanya majadiliano kuhusu uchumi wa Tanzania.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news