Mwili wa mwanahabari Bathromea Chilwa Chiwiko kuagwa Dodoma kesho

NA DIRAMAKINI

TARATIBU za mazishi ya aliyekuwa mwanachama wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dodoma (CPC) na Afisa Habari wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Bathromea Chilwa Chiwiko yanatarajiwa kufanyika wiki ijayo.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, maandalizi ya mazishi ya Bathromea Chilwa Chiwiko ambaye alipata ajali hivi karibuni ni kama ifuatavyo;

1.Msiba upo nyumbani kwake Michese 

2.Jumatatu (06/03/2023)

-Misa pamoja na kuaga mwili.

-Safari ya kuelekea Mpanda (jioni)

3.Jumanne (08/03/2023)

Maziko

Tunawapa pole ndugu, jamaa na marafiki kwa kuodokewa na mpendwa wao. Mungu amlaze mahali pema. Amen

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news