Tuzo kwa Vijana Jumuiya ya Afrika Mashariki zagusa kila sekta

NA DIRAMAKINI

TUZO kwa Vijana Jumuiya ya Afrika Mashariki (East Africa Youth Awards) wanaofanya vizuri kwenye sekta mbalimbali zimeandaliwa na kubuniwa na aliyekuwa Spika wa Bunge la Vijana Afrika Mashariki,Helena William Mollel.

Kwa mara ya kwanza pia tuzo hizi zimegusa vijana wanariadha, wabunifu, wachimba madini, wachezaji mpira wa miguu na wanasiasa vijana chipukizi kutoka nchi aote Afrika Mashariki.

Hapa chini ipo orodha ya vijana mbalimbali wanaowania tuzo hizi kulingana na vipengele mbalimbali. Zoezi la upigaji kura litaanza kuanzia tarehe 15 Machi hadi 31 Machi 2023 kupitia EAYA Mobile App.







Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news