Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Machi 1, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1693.99 na kuuzwa kwa shilingi 1710.43 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2474.31 na kuuzwa kwa shilingi 2462.58.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Machi 1, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 220.1 na kuuzwa kwa shilingi 222.23 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 124.52 na kuuzwa kwa shilingi 125.74.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.80 na kuuzwa kwa shilingi 16.97 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 331.30 na kuuzwa kwa shilingi 334.54.


Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1546.37 na kuuzwa kwa shilingi 1562.30 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3048.39 na kuuzwa kwa shilingi 3078.87.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.12 na kuuzwa kwa shilingi 18.27 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.81 na kuuzwa kwa shilingi 631.93 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.49 na kuuzwa kwa shilingi 148.14.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2437.93 na kuuzwa kwa shilingi 2463.24.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2298.41 na kuuzwa kwa shilingi 2321.4 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7488.40 na kuuzwa kwa shilingi 7560.33.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2778.32 na kuuzwa kwa shilingi 2807.04 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.15.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today March 1st, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.8109 631.9314 628.8712 01-Mar-23
2 ATS 147.4894 148.7962 148.1428 01-Mar-23
3 AUD 1546.3742 1562.3022 1554.3382 01-Mar-23
4 BEF 50.3101 50.7554 50.5327 01-Mar-23
5 BIF 2.2006 2.2172 2.2089 01-Mar-23
6 BWP 172.3812 174.8014 173.5913 01-Mar-23
7 CAD 1693.9975 1710.4332 1702.2154 01-Mar-23
8 CHF 2450.8593 2474.3125 2462.5859 01-Mar-23
9 CNY 331.3032 334.5439 332.9235 01-Mar-23
10 CUC 38.3729 43.6189 40.9959 01-Mar-23
11 DEM 920.9504 1046.8546 983.9025 01-Mar-23
12 DKK 327.6337 330.8629 329.2483 01-Mar-23
13 DZD 17.8901 17.9979 17.944 01-Mar-23
14 ESP 12.1977 12.3053 12.2515 01-Mar-23
15 EUR 2437.9297 2463.2375 2450.5836 01-Mar-23
16 FIM 341.3354 344.3601 342.8477 01-Mar-23
17 FRF 309.3968 312.1336 310.7652 01-Mar-23
18 GBP 2778.3251 2807.0369 2792.681 01-Mar-23
19 HKD 292.8142 295.7386 294.2764 01-Mar-23
20 INR 27.8299 28.0895 27.9597 01-Mar-23
21 IQD 0.2121 0.2137 0.2129 01-Mar-23
22 IRR 0.0081 0.0082 0.0082 01-Mar-23
23 ITL 1.0482 1.0574 1.0528 01-Mar-23
24 JPY 16.8037 16.9705 16.8871 01-Mar-23
25 KES 18.1192 18.2715 18.1954 01-Mar-23
26 KRW 1.7379 1.7543 1.7461 01-Mar-23
27 KWD 7488.404 7560.3322 7524.3681 01-Mar-23
28 MWK 2.0892 2.2276 2.1584 01-Mar-23
29 MYR 512.4673 517.0156 514.7414 01-Mar-23
30 MZM 35.4147 35.7138 35.5643 01-Mar-23
31 NAD 91.8604 92.5659 92.2132 01-Mar-23
32 NLG 920.9504 929.1175 925.0339 01-Mar-23
33 NOK 222.2152 224.3614 223.2883 01-Mar-23
34 NZD 1415.5943 1430.2145 1422.9044 01-Mar-23
35 PKR 8.3579 8.8688 8.6133 01-Mar-23
36 QAR 763.2761 766.95 765.113 01-Mar-23
37 RWF 2.0927 2.1469 2.1198 01-Mar-23
38 SAR 612.5026 618.5781 615.5403 01-Mar-23
39 SDR 3048.3889 3078.8728 3063.6309 01-Mar-23
40 SEK 220.1 222.2329 221.1664 01-Mar-23
41 SGD 1703.9186 1720.8302 1712.3744 01-Mar-23
42 TRY 121.7111 122.8943 122.3027 01-Mar-23
43 UGX 0.5931 0.6224 0.6077 01-Mar-23
44 USD 2298.4158 2321.4 2309.9079 01-Mar-23
45 GOLD 4156455.2079 4200573.3 4178514.254 01-Mar-23
46 ZAR 124.5241 125.7366 125.1304 01-Mar-23
47 ZMK 112.5423 117.1241 114.8332 01-Mar-23
48 ZWD 0.4301 0.4388 0.4345 01-Mar-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news