Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 8,2023


Mabingwa wa nguo nchini, Taven Industries wanayo furaha kukujulisha kuwa, kwa sasa unaweza kujipatia huduma bora zaidi zinazotokana na uzalishaji na usambazaji wa T-shirt za aina zote (Za kola (polo),Za round, Zenye shingo v, Sare za aina zote, Za shule,Za hoteli, viwanda na maeneo ya kazi, biashara na ulinzi).

Pia, unaweza kujipatia Nguo za mitindo mbalimbali kwani wanazalisha kwa mteja aliyeandaa mitindo au sampuli,leta nguo ya sampuli au mchoro, Nguo za watoto,Nguo za safari,Nguo za kutokea, Nguo za kiofisi na sehemu rasmi, Na mitindo yote iliyoandaliwa au kuandaliwa na wataalamu wetu.

Aidha,Taven Industries wanatoa huduma za uchapishaji wa nguo kwa njia ya kudarizi,kuchapa kwa njia ya wino na moto na michoro ya asili.Ushauri na uelekezi kwa mawasiliano tumia simu 0716041476,0717514324 au 0715094290 wanapatikana Block D, Plot 716, Chihoni-Nala jijini Dodoma, Tanzania.
















Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news