🔴LIVE: Waziri Mkuu katika maadhimisho ya miaka mitano ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali

LEO Juni 5, 2023 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa ndiye mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka mitano ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali tangu ilipoanzishwa Februari 13, 2018.

Maadhimisho haya yanaogozwa na kaulimbiu isemayo, "Miaka Mitano ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali: Tulipotoka, Tulipo na Tunapoelekea", ili ofisi iweze kufanya tathmini ya namna ilivyotekeleza majukumu yake ya uratibu, ushauri, usimamizi na uendeshaji mashauri ya madai na usuluhishi kwa niaba ya Serikali na taasisi zake ndani na nje ya nchi. Hafla hii inafanyikia katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news