Mawakili wa Serikali wajengewa uwezo


Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende akizungumza na Mawakili wa Serikali (hawapo pichani) wanaoshiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo katika masuala ya kisheria ikiwemo uandaaji wa mikataba ya uwekezaji, miradi inayohusu mafuta na gesi. Mafunzo hayo ya siku tatu yanafanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Sara Mwaipopo (wa kwanza kulia) akisikiliza kwa makini mada mbalimbali zinazotolewa kwa Mawakili wa Serikali wanaoshiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo katika masuala ya kisheria ikiwemo uandaaji wa mikataba ya uwekezaji na miradi inayohusu mafuta na gesi. Mafunzo hayo ya siku tatu yanafanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Sara Mwaipopo akizungumza na Mawakili wa Serikali wanaoshiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo katika masuala ya kisheria ikiwemo uandaaji wa mikataba ya uwekezaji na miradi inayohusu mafuta na gesi. Mafunzo hayo ya siku tatu yanafanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakifuatilia mada mbalimbali zinazotolewa kwa Mawakili wa Serikali wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo katika masuala ya kisheria ikiwemo uandaaji wa mikataba ya uwekezaji na miradi inayohusu mafuta na gesi. Mafunzo hayo ya siku tatu yanafanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news