Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amos Makalla mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Mwanza uliopo Ilemela Mkoani humo tarehe 12 Juni, 2023.Rais Dkt.Samia awasili Mwanza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Amos Makalla mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Mwanza uliopo Ilemela Mkoani humo tarehe 12 Juni, 2023.
