Waziri Mkuu bungeni leo Juni 2, 2023

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu kutoka jimbo la Kilombero kwemye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 7, 2023. Kulia kwake ni Mbunge wa Kilombero, Abubakar Asenga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Janet Masaburi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 7, 2023. Kushoto ni Mbunge wa Nsimbo, Anna Lupembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Janet Masaburi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 7, 2023. Kushoto ni Mbunge wa Nsimbo, Anna Lupembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata (kushoto) na mbunge wa Kilombero, Abubakar Asenga kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 7, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata (kushoto) na Mkurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Sabasaba Muyanja kwenye viwanja wa vya Bunge jijini Dodoma, Juni 7, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news