Spika Dkt.Tulia ateta na Rais wa Uruguay

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Mabunge Duniani kwa Kundi la Afrika (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na kuzungumza jambo na Rais wa Uruguay. Mhe.Luis Lacalle Pou wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa the 2nd World Summit of the Committees of the Future uliofanyika katika Ukumbi wa Bunge la nchi hiyo Jijini Montevideo leo tarehe 25 Septemba, 2023.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news