Waziri wa Fedha akimuaga Rais wa Jamhuri ya Burundi baada ya kushiriki Mkutano wa 23 wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama wa EAC


Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akimuaga Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, baada ya kushiriki Mkutano wa 23 wa Viongozi Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, uliofanyika katika Hoteli ya Ngurdoto, Mkoani Arusha, ambapo katika Mkutano huo, Mhe. Ndayishimiye alimkabidhi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais wa Sudan Kusini, Mhe. Salva Kiir, baada ya kumaliza muda wake.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF)

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news