Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Machi 26,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.47 na kuuzwa kwa shilingi 0.48 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2754.08 na kuuzwa kwa shilingi 2782.65.Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Machi 26, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1663.43 na kuuzwa kwa shilingi 1680.32 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3370.11 na kuuzwa kwa shilingi 3403.81.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.33 na kuuzwa kwa shilingi 19.38 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.36 na kuuzwa kwa shilingi 1.47.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.88 na kuuzwa kwa shilingi 0.89.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2542.31 na kuuzwa kwa shilingi 2567.75 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8266.05 na kuuzwa kwa shilingi 8343.29.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3214.49 na kuuzwa kwa shilingi 3246.89 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.96 na kuuzwa kwa shilingi 2.01.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1872.65 na kuuzwa kwa shilingi 1890.82 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2834.23 na kuuzwa kwa shilingi 2861.29.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 240.49 na kuuzwa kwa shilingi 242.86 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.71 na kuuzwa kwa shilingi 135.95.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 692.39 na kuuzwa kwa shilingi 699.12 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 163.14 na kuuzwa kwa shilingi 164.58.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today March 26th, 2024 according to Bank of Tanzania (BoT);
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED692.3871699.1206695.753826-Mar-24
2ATS163.1399164.5854163.862726-Mar-24
3AUD1663.43141680.32251671.87726-Mar-24
4BEF55.648656.141255.894926-Mar-24
5BIF0.88430.89250.888426-Mar-24
6BWP185.0799187.7011186.390526-Mar-24
7CAD1872.6481890.81741881.732726-Mar-24
8CHF2834.23292861.29932847.766126-Mar-24
9CNY352.6182356.0456354.331926-Mar-24
10CUC105.9295106.9888106.459126-Mar-24
11DEM1018.67491157.93911088.30726-Mar-24
12DKK369.3442373.0214371.182826-Mar-24
13DZD18.898819.004418.951626-Mar-24
14ESP13.49213.611113.551626-Mar-24
15EUR2754.08112782.6492768.36526-Mar-24
16FIM377.5554380.901379.228226-Mar-24
17FRF342.2277345.2549343.741326-Mar-24
18GBP3214.49293246.89463230.693726-Mar-24
19HKD325.0616328.2996326.680626-Mar-24
20INR30.49530.779630.637326-Mar-24
21IQD1.94221.95861.950426-Mar-24
22IRR0.06050.06110.060826-Mar-24
23ITL1.15941.16961.164526-Mar-24
24JPY16.818616.983516.901126-Mar-24
25KES19.333119.379119.356126-Mar-24
26KRW1.89641.91471.905526-Mar-24
27KWD8266.05198343.2878304.669526-Mar-24
28MWK1.36241.46721.414826-Mar-24
29MYR538.2822543.205540.743626-Mar-24
30MZM39.501439.834539.667926-Mar-24
31NAD134.6775135.981135.329326-Mar-24
32NGN1.81591.77081.793426-Mar-24
33NLG1018.67491027.70861023.191826-Mar-24
34NOK237.6099239.9277238.768826-Mar-24
35NZD1527.92651543.46251535.694526-Mar-24
36PKR8.68469.22818.956426-Mar-24
37QAR697.4779703.6805700.579226-Mar-24
38RWF1.96542.01321.989326-Mar-24
39SAR677.8943684.6367681.265526-Mar-24
40SDR3370.10613403.80723386.956626-Mar-24
41SEK240.4891242.8573241.673226-Mar-24
42SGD1891.03461909.23491900.134726-Mar-24
43TRY79.089779.869779.479726-Mar-24
44UGX0.62740.65840.642926-Mar-24
45USD2542.30692567.732555.018526-Mar-24
46GOLD5535593.68785591745.6215563669.654426-Mar-24
47ZAR134.7082135.9472135.327726-Mar-24
48ZMK92.016395.632493.824426-Mar-24
49ZWD0.47570.48540.480626-Mar-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news