Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 19,2024

CHAMA cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kutekeleza ahadi yake ya kutunga sheria ya kuiwezesha Tume Huru ya Uchaguzi kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Makamu Mwenyekiti  Bara wa chama hicho, Isihaka Mchinjita ameyasema hayo kwenye mapokezi ya kumpongeza kwa kuchaguliwa na Mkutano Mkuu Taifa yaliyofanyika katika ofisi ya Mkoa wa Lindi iliyopo Lindi Mjini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news