Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 12,2024

DAR ES SALAAM-Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva,Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) amesema bado yupo sana kwenye muziki mpaka pale Mungu atakapomuambia imetosha.
Amesema hayo Aprili 11,2024 wakati akitangaza ujio wa Tamasha la Muziki litakalofanyika jijini Dar es salaam Aprili 26,27 na kutamba kuwa mipango yake ni kuendelea kutikisa ndani na nje ya nchi.

“Suala la kudondoka mimi sidondoki mpaka Mungu aseme, sijui umenielewa? nina ‘hits’ ambazo hazikatiki leo wala kesho mpaka Mwenyezi Mungu akisema Diamond eeh sasa inatosha.

” Lakini kwa maneno ya watu mimi na mawe mimi na nyimbo alafu uzuri Muziki naujua sana,” amesema Diamond.























Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news