Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 8,2024

TABORA-Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, imemhukumu mkulima, Mohamed Makala (28) kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuharibu miundombinu ya maji.
Vilevile imemhukumu mkulima mwingine, Kalolo Wilbati (52) mwaka mmoja jela kwa kukutwa na vitu vya wizi mali ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Wilaya ya Igunga (IGUWASA).























Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news