Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akizungumza na watumishi wa Wizara, Idara na Taasisi za Serikali wakati akifunga Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika tarehe 23 Juni 2025 jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Boniphace Simbachawene akizungumza na Watumishi wa Umma kutoka Wizara, Idara na Taasisi za Serikali wakati wa kufunga Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika tarehe 23 Juni 2025 jijini Dodoma.

Wakili wa Serikali wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu. Nicodemus Agweyo akitoa elimu ya msaada wa kisheria wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika jijini Dodoma.

Tags
Habari
Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Picha
Picha Chaguo la Mhariri