HomeDkt.Hussein Ali Mwinyi Rais Dkt.Mwinyi awatakia wananchi Heri ya Mwaka Mpya 1447 Hijria Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi anawatakia waumini wa Dini ya Kiislamu Heri ya Mwaka Mpya 1447 Hijria. Tags Dkt.Hussein Ali Mwinyi Habari Zanzibar News Facebook Twitter