HomeHabari Tunawatakia Eid Al Adha Mubarak-WMA BODI,Menejimenti na Wafanyakazi wote wa Wakala wa Vipimo (WMA) tunawatakia Waislamu na Watanzania wote heri ya Sikukuu ya Eid Al Adha. Tags Habari Salamu za Eid Al Adha Wakala wa Vipimo (WMA) Facebook Twitter