Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala,Katiba na Sheria yapokea taarifa ya Muundo,Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na Ofisi ya Rais-IKULU na taasisi zake

Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo na Watendaji wa Ofisi ya Rais-IKULU na Taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo kilicholenga kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akiongoza kikao cha Kamati yake na Watendaji wa Ofisi ya Rais-IKULU na Taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo kilicholenga kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na ofisi ya Rais-IKULU kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma.
Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo na Watendaji wa Ofisi ya Rais-IKULU na Taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo kilicholenga kuwasilisha kwa Kamati hiyo taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na ofisi hiyo.
Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Mahendeka akifafanua jambo wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria na Watendaji wa Ofisi ya Rais-IKULU na Taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo kilicholenga kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na ofisi hiyo.
Watendaji wa Ofisi ya Rais-IKULU na Taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo wakiwa kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kilicholenga kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na ofisi hiyo. Wengine ni Wajumbe wa Kamati hiyo.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Regina Qwaray akijitambulisha kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakati wa kikao cha Kamati hiyo na Watendaji wa Ofisi ya Rais-IKULU na Taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo kilicholenga kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na ofisi hiyo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akitazama nyaraka zake kabla ya kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na ofisi ya Rais-IKULU kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma. Kulia kwake ni Naibu Waziri wake Mhe. Regina Qwaray.
Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Mahendeka (wa kwanza kulia), Katibu Mkuu-UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi (katikati) na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi wakiwa katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kilicholenga kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na Ofisi ya Rais-IKULU.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Saashisha Mafuwe (Aliyenyanyua mikono) akichangia hoja kuhusu masuala ya ajira wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria na Watendaji wa Ofisi ya Rais-IKULU na Taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo kilicholenga kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na ofisi hiyo.
Sehemu ya Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais-IKULU, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (hayupo pichani) wakati akiongoza kikao cha Kamati yake na Watendaji wa ofisi hiyo kilicholenga kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu na Sheria zinazosimamiwa na ofisi hiyo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here