Mbwa ni mlinzi atumike kulinda mali

KIGOMA-Mkuu wa Kikosi cha Mbwa na Farasi Mkoa wa Kigoma Mkaguzi wa Polisi (INSP) David Kaimukilwa amewataka wanafunzi wa Shule ya Sekondari Katubuka iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji kuwatumia Mbwa kuimarisha usalama wa mali zao.
Hayo yamesemwa Machi 13,2026 ambapo amewataka wanafunzi hao kufuga Mbwa majumbani mwao kwani Mbwa ni mlinzi hutumika kuimarisha usalama wa mali endapo atafugwa na kuhudumiwa vyema.
Pamoja na hayo amewataka wanafunzi hao kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here