Jaji Mkuu wa Tanzania ajitambulisha rasmi kwa Rais wa Zanzibar

ZANZIBAR-Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju ya leo tarehe 22 Juni, 2026 amemtembelea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kujitambulisha kwake rasmi na kufanya naye mazungumzo mafupi.

Yafuatayo ni matukio katika picha-Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju alipomtembelea na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi-Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsalimia na kumkaribisha Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju alipomtembelea Ikulu Zanzibar leo tarehe 22 Juni, 2026.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju alipomtembelea Ikulu Zanzibar leo tarehe 22 Juni, 2026.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju leo tarehe 22 Juni, 2026 alipomtembelea Rais Mhe. Dkt. Mwinyi Ikulu ya Zanzibar.
Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju akisisitiza jambo leo tarehe 22 Juni, 2026 alipokuwa akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo katika picha).
Picha ya pamoja. Kulia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi na kushoto ni Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju.(Picha na MARY GWERA, Mahakama-Zanzibar).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here