Kampuni 5277 kufutiwa usajili nchini Tanzania, hii hapa orodha kamili

NA DIRAMAKINI

MSAJILI wa Kampuni kwa mujibu wa kifungu cha 403(3) cha Sheria ya Kampuni, Sura 212 anatoa Notisi ya Mwisho ya Nia ya kufuta Kampuni kutoka katika Daftari/Rejista ya Kampuni. Wakurugenzi, Wanahisa na Makatibu wa kampuni zilizoorodheswa katika Notisi hii wanataarifiwa nia ya Msajili ya kufuta kampuni hizo.
Notisi hii inatokana na Notisi mbili za awali zilizotolewa na Msajili ambapo Notisi ya kwanza ilitolewa tarehe 02 Juni, 2022 na Notisi ya Pili ilitoka tarehe 13 Julai, 2022. Kwa Notisi hizi Msajili alizitaka Kampuni zilizoorodhesha kuthibitisha kama zinafanya biashara.

Kwa Notisi hii, Kampuni zilizoorodheswa zinapewa muda wa mwisho wa siku tisini (90) kuanzia tarehe ya Tangazo hili kwamba endapo hakutatokea pingamizi lolote baada ya muda huo kuisha, Msajili ataendelea na hatua ya kufuta Kampuni hizo kutoka kwenye Daftari/Regista ya Kampuni.

Orodha ya Kampuni zinazokusudiwa kufutwa katika Daftari|Rejista ya Kampuni ni pamoja na;

1. 2M & K LIME PRODUCTS LIMITED 11173
2. 3M CONSULT LIMITED 5840
3. 5- EMU ENTERPRISES COMPANY LIMITED 13047
4. 683 AUTOSPARES AND HARDWARES LIMITED 10244
5. 683 AUTOSPARES AND HARDWARES LIMITED 10244
6. 786 REGAL 10895
7. A & J. MAIN (TANZANIA) LIMITED 4919
8. A & K. MANAGEMENTS LIMITED 9614
9. A & L TANZANIA LIMITED 10032
10. A & S DEVELOPMENT LIMITED 7105
11. A TO Z MANAGEMNET SERVICES (T) LIMITED 8404
12. A&F CONTRACTORS LIMITED 3387
13. A. AHMED JAFFER LIMITED 3999
14. A. B. C. BAKERIES LIMITED 9446
15. A. C. E. CONSULTANTS LIMITED 11199
16. A. C. GOMES (1980) LIMITED 7482
17. A. E. KATRI LIMITED 10966
18. A. G. DHARSEE LIMITED 7185
19. A. G. PANJAWANI & COMPANY 3190
20. A. G. V. INVESTMENTS LIMITED 9848
21. A. H. NASSER 6669
22. A. K. CONSTRUCTION COMPANY LIMITED 8065
23. A. K. LARDHI AND SONS LIMITED 10852
24. A. P. KANJI LIMITED 3384
25. A. S. METHA LIMITED 9523
26. A. S. TIMAMY LIMITED 9460
27. A.A LIMITED 2106
28. A.A. DHALLA LIMITED 7930
29. A.B. ENTERPRISES CO. LIMITED 10711
30. A.B. MARTIN DE SILVA LIMITED 3389
31. A.B.C. INVESTMENTS LIMITED 5816
32. A.B.C. FLATS LIMITED 4315
33. A.B.C. SUPPLIES AND SERVICES LIMITED 10666
34. A.D. INVESTMENTS LIMITED 10558
35. A.G MANJI & COMPANY LIMITED 8294
36. A.G. HANID & SONS LIMITED 7548
37. A.G. PATEL LIMITED 7013
38. A.H NURMOHAMED & COMPANY LIMITED 2002
39. A.H. NOORANI & SONS LIMITED 1908
40. A.K. AGRO AND INDUSTRIAL INPUTS(T) LIMITED 10869
41. A.L. BAVDA LIMITED 10990
42. A.M. CHATOO & SONS LIMITED 3770
43. A.M. DATOO AND COMPANY LIMITED 5256
44. A.M. SHARIFF LIMITED 563
45. A.N. PRAKASHAN SERVICES LIMITED 5987
46. A.N. HIRJI LIMITED 3408
47. A.S. ABRI & SONS LIMITED 8581
48. A.S. ENTERPRISES LIMITED 10955
49. A.S. ENTERPRISES LIMITED 11269
50. A.S. GURNAH LIMITED 8263
51. A.V.C ENTERPRISES LIMITED 10989
52. AAMKA INDUSTRIES COMPANY LIMITED 12106
53. AATISH LIMITED 10159
54. ABAS PRINTERS LIMITED 5911
55. ABB BERKELEY ELECTRICAL LIMITED 5951
56. ABBAS AUTOMOBILE AND HARDWARE LIMITED 11009

Soma orodha ya kampuni zote hapa;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here