ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo Septemba 25,2026 amewatakia wananchi wote Jummah Mubarak huku akisisitiza kuwa,tuwalee vijana wetu katika njia ya wema,elimu na kumcha Mwenyezi Mungu.
