Soma habari zote muhimu leo Oktoba 19, 2026 kutoka katika magazeti makubwa ya Tanzania kama Mwananchi, HabariLeo, Majira, Nipashe, Zanzibar Leo, Raia Mwema, Mwanahalisi, Uhuru, Pambazuko, Jamhuri na mengineyo kila siku bila malipo.
Gazeti la Pambazuko, Toleo Namba 187 la Jumatatu, Oktoba 19-25, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya Manukato hatari afya za watoto (Uk. 6&7), Makonda analaumiwa kwa lipi? kufuatia ziara yake mkoani Mwanza (Uk. 16), na habari nyingine ni Ndejembi akerwa kasi ndogo ujenzi wa barabara (Uk. 5), 667,040 kufanya mtihani wa kidato cha nne leo, na Mgongano wa maslahi upangishaji wa Hifadhi ya Barabara ya Morogoro (Uk. 13).
Gazeti la Mwananchi Tanzania, Toleo Na. 9563 la Jumatatu, Oktoba 19, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya Kimeumana, Necta yatoa onyo kidato cha nne wakianza mitihani leo, na habari nyingine ni Maambukizi yanavyotesa majeruhi baada ya upasuaji, Mtanzania aongeza nguvu uwekezaji kwenye nishati, na Kihongosi, Heche wakomaa na miradi, uwekezaji kwa wananchi.
Gazeti la Habari Leo, Toleo Na. 06828 la Jumatatu, Oktoba 19, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya Tril 1/- zawekezwa elimu ya juu - Taasisi 20 zanufaika, Ndejembi aonya ubadhirifu, ubinafsi (Uk. 7), Benki ya Dunia yasifu maendeleo ya Tanzania na Saccos 20 zatawala ukwasi (Uk. 2 & 7), Mahakama inazingatia haya kugawa mali za wanandoa (Uk. 3), Crdb yazidi kujimarisha kimataifa (Uk. 2), na Diwani auawa vurugu wakulima, wafugaji (Uk. 20).
Habari Leo ukurasa wa mbele wa michezo umebeba habari kuu ya Makonda amuomba Drogba kuipaisha Tanzania Afcon, Ushindi Yanga wampa raha Manqoba, na habari nyingine ni Singida BS yang'ara ugenini, Serengeti kuwa kitovu cha utalii michezo (Uk. 23), na Kenya, Bafana Bafana kumrejesha nyumbani McCarthy (Uk. 22).

Gazeti la Nipashe, Toleo la Jumatatu Oktoba 19, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya CCM, CHADEMA watoa kauli nzito (Uk. 2), Serikali yaagiza wakulima wadogo nchini walindwe dhidi ya wajanja (Uk. 3), na habari nyingine ni CRDB yasaini mikataba ufadhili dola milioni 111 Kongamano la Thailand (Uk. 8), China yapeleka madaktari 36 Z'bar (Uk. 16), na Kielelezo cha madhara ya mabadiliko ya tabianchi (Uk. 4 & 5).
Nipashe, ukurasa wa mbele wa michezo umebeba habari kuu ya Barker: 15 de Agosto hawanitishi (Uk. 23), Manqoba alia wachezaji kukosa mabao (Uk. 23), na habari nyingine ni Yamal ndio mchezaji bora duniani kwa sasa - Flick (Uk. 21) na Wachezaji wa Simba wafanya mazoezi.
Gazeti la Majira, Toleo la Jumatatu, Oktoba 19, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya Kidato cha 4 kuanza mtihani wa Taifa leo (Uk. 4), habari ya kati (anchor) ya Rais Samia aagiza wakulima wadogo walindwe (Uk. 4), na habari nyingine tatu ni Tanzania yasisitiza ushirikiano na UNDP (Uk. 3), Jiji Dar latakiwa kulisimamia dampo ipasavyo (Uk. 17), na Trump: Tutaizuia Iran kufufua mpango wake wa nyuklia (Uk. 19).
Gazeti la Zanzibar Leo, Toleo No. 8239 la Jumatatu, Oktoba 19, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya Ziara za nje zimefungua fursa za uwekezaji - Dk. Mwinyi (Uk. 2), Tanzania, China kushirikiana kukuza ujuzi wa vijana (Uk. 3), na habari nyingine ni Papa Leo apata nafuu, aondoka hospitalini baada ya upasuaji (Uk. 6), 'Mradi uhimilivu mifumo ya chakula kuimarisha kilimo Z'bar' (Uk. 2), na Lela alitaka Baraza jipya SUZA kuongeza ufanisi (Uk. 2).Gazeti la Wamachinga, Toleo Na. 5655 la Jumatatu, Oktoba 19, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya Ndejembi ashtukia upigaji Mbarali (Uk. 3), Mnazi Bay yafungua ukurasa mpya gesi Tanzania (Uk. 2), na habari nyingine ni Milioni 600/ kutua Makambako kujenga kituo cha afya (Uk. 2), Polisi wamshikilia Vivian, wenzake kwa tuhuma za kupanga kutekwa kwake (Uk. 2), na Watahiniwa 667,040 kuanza mitihani kidato cha nne leo (Uk. 3).
Wamachinga ukurasa wa mbele wa michezo umebeba habari kuu ya Yanga, Azam waibeba Tanzania, Singida BS hawataki unyonge, na habari nyingine ni Uzinduzi uwanja wa Gofu Fort Ikoma wafungua fursa mpya kiuchumi.
Gazeti la MwanaHabari, Toleo Na. 3391 la Jumatatu, Oktoba 19, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya Rais Samia aagiza wakulima wadogo walindwe-Ndejembi (Uk. 3), Vijana kunufaika na ushirikiano wa Tanzania, China (Uk. 3), na habari nyingine ni NECTA yatoa onyo udanganyifu mtihani kidato cha nne (Uk. 2), Wakuu wa Mikoa, Wilaya watakiwa kusimamia bei elekezi ya mbolea kumlinda mkulima (Uk. 2), na Serikali kutoa uthamini wa shilingi bilioni 30 kwa shamba la Highland Estate Mbarali.
MwanaHabari ukurasa wa mbele wa umebeba habari kuu ya Yanga, Azam watisha CCL, Serengeti kuwa kitovu Cha utalii wa michezo Afrika, na habari nyingine ni Kichwele atua Ukraine.
Gazeti la Mwananchi Huru, Toleo No. 269 la Jumatatu, Oktoba 19, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya TIRA yadhibiti ubabaishaji katika sekta ya bima nchini (Uk. 4), Tanzania yaipa tano Benki ya Dunia ufadhili miradi ya maendeleo (Uk. 4), na habari nyingine ni Serikali yawekeza shil. bil. 60 tiba ya saratani Ocean Road (Uk. 4), Diwani wa Msigani aipongeza shule ya St Anne Marie kwa kutoa punguzo la ada (Uk. 4).
Gazeti la Raia Mzalendo, Toleo No. 511 la Jumatatu, Oktoba 19, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya TIRA yazidi kuimarisha sekta ya bima (Uk. 3), Shule ya St Anne Marie Academy yajivunia kuwa 10 bora kitaifa miaka minne mfululizo (Uk. 3), na habari nyingine ni Ngorongoro yaibuka kidedea tuzo za Afrika nchini Ghana (Uk. 4), Tanzania yashukuru mchango wa Benki ya Dunia kwenye miradi ya maendeleo (Uk. 5),
Gazeti la Mtanzania Leo, Toleo Na. 213 la Jumatatu Oktoba 19, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya TIRA yajipanga kuondoa ubabaishaji sekta ya bima, Serikali yagundua gesi asilia mpya Mnazi Bay Mtwara, na habari nyingine ni Tanzania, China kuongeza fursa za mafunzo kwa vitendo, Ngorongoro yaibuka kidedea tuzo za Afrika Ghana, na Diwani Msigani aipongeza shule ya St Anne Marie.
Gazeti la Biashara Leo, Toleo No: 280 la Jumatatu Oktoba 19, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya Ngorongoro yaibuka kidedea katika tuzo za Afrika Ghana, TIRA yaongeza umakini kudhibiti ujanja sekta bima, na habari nyingine ni Diwani wa Msigani aipongeza shule ya St Anne Marie Academy kwa punguzo la ada.
Gazeti la Sauti Yetu, Toleo Na. 336 la Jumatatu Oktoba 19, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya Msaada Chanzo Mchengerwa kuwashutumu UVCCM Pwani, Kawaida amjia juu, ataka tuhuma zifuate utaratibu, na Asema vijana wasikatishwe tamaa. Tanzania yashukuru michango ya WB katika miradi ya Maendeleo, na habari nyingine ni Tanzania, China kuwekeza katika ujuzi wa kisasa.
Gazeti la Dira Ya Mtanzania, Toleo No. 102198 la Jumatatu, Oktoba 19, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya Uwezo wa uzalishaji umeme waongezeka - wafikia MW 4,646, lengo ni 8,000MW ifikapo 2030 (Uk. 3), Watahiniwa 667,040 kuanza mitihani kidato cha nne leo, ni Ushirikiano wa China, Tanzania kukuza ujuzi wa vijana (Uk. 3), Balozi Omar aishukuru benki ya dunia ufadhili wa miradi (Uk. 5), na Makamu wa Rais Ndejembi aweka jiwe la msingi ujenzi wa majengo ya MUCE mkoani Iringa.
Gazeti la Tanzania Yetu, Toleo Na. 3928 la Jumapili, Oktoba 18, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya Ndejembi: Fedha za umma zilete tija, wabadhilifu hawatavumiliwa (Uk. 2), Uwezo wa Tanzania kuzalisha umeme wafikia MW 4,646 (Uk. 2), na habari nyingine ni DRC yapiga marufuku vyama 13, kikiwemo cha Kabila (Uk. 4), Prof. Shemdoe: Wakuu wa Mikoa, Wilaya simamieni bei elekezi ya mbolea kumlinda mkulima (Uk. 3), na NECTA yatoa onyo kali kwa wadanganyifu mitihani kidato cha nne (Uk. 2).Gazeti la Mwana Spoti, Na. 5446 la Jumatatu, Oktoba 19, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya WAMEKWISHA, Manqoba awashukia mastaa Yanga SC, na habari nyingine ni Haaland mabao 100 bila penalti, Zimetimia: Harmonize, Davido, Tyla, Nandy, na EPL leo Jumatatu: Tottenham vs Coventry saa 4:00 usiku.
Gazeti la Uhuru, Na. 25692 la Jumatatu Oktoba 19, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya Ndejembi aweka msimamo, Kihongosi aanika undani CCM kudumu madarakani, na habari nyingine ni Serikali yajipanga kuzalisha umeme megawati 8,000, Uboreshaji bandari Dar wakosha mawaziri Afrika, na Wanafunzi kidato cha nne kuanza mtihani leo.
Gazeti la Uhuru, ukurasa wa michezo umebeba habari kuu ya Kocha Yanga kicheko, Barker macho yote CAFCL, na habari nyingine ni Kane aweka rekodi nyingine, Miss Ilala 2026 iliyokuja kivingine kuendeleza rekodi Miss Tanzania, na TPLB yamilia Themi Felix.
Gazeti la Tanzania Leo, Toleo Na. 001233 la Jumatatu Oktoba 19, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya Wiki ya matunda ya Diplomasia ya Samia, Bunge lampongeza Samia kwa kulipa deni la muda mrefu PSSSF, na Dkt Samia aagiza wakulima wadogo walindwe, atoa msimamo, Kihongosi: Msigwa aliondoka CCM baada ya kunyimwa cheo, na Watahiniwa 667,040 kuanza mitihani kidato cha nne leo.
Tanzania Leo, ukurasa wa mbele wa michezo umebeba habari kuu ya Manqoba awavaa mastraika Yanga, Atoa onyo zito, Barker anaifukuzia rekodi ya Yanga, na habari nyingine ni Simba yasuka mikakati mizito Kimataifa, Harry Kane alamba dili nono Bayern Munich, na Masalanga hana haraka Yanga SC.
Gazeti la Taifa Tanzania, Toleo Na. 1557 la Jumatatu Oktoba 19, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya STAMICO yafanya kweli, mapato yapaa kwa 11,269% yaacha kutegemea Serikali, Tanzania, UNDP kuimarisha ushirikiano katika ajira kwa vijana na uwekezaji (Uk.5), na habari nyingine ni Watahiniwa 667,040 kufanya mtihani wa kidato cha nne leo, Serikali yatenga tril 1/- kuimarisha ulimu ya juu - Ndejembi, na Balozi Omar aishukuru Benki ya Dunia kwa utafiti wa miradi nchini.
Taifa Tanzania ukurasa wa mbele wa michezo umebeba habari kuu ya Mashabiki Yanga hawaridhishwi na kiwango cha timu yao, Singida Black Stars yawapa mashabiki imani kuziona timu zote 4 zikifuzu makundi, na habari nyingine ni Ushindi wa Jihan Dimack ni ujumbe wa amani kwa dunia - Msigwa, Manchester United bado gonjwa lipo palepale, na Diamond Platnumz atwaa tuzo kibabe za Top African Celebrity of the Year 2026.
Gazeti la Za Spoti, Toleo No. 1436 la Jumatatu 19-25 Oktoba, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya Hemed awapongeza 'Zanzibar Spice Boys' kutwaa ubingwa Brazil, Serikali kuwapokea kwa heshima Zanzibar Spice Boys, na habari nyingine ni Dubois amtwanga Wardley TKO, Kane ni rekodi juu ya rekodi Bundesliga, na Mngqithi alia na washambuliaji Yanga SC.
Gazeti la Rada, Toleo Na. 0086 la Jumatatu Oktoba 19 - 25, 2026, ukurasa wa mbele umebeba habari kuu ya Sikutaka kujenga taifa la watu waoga (Uk. 5), Lijue Jeshi la wana Maji la Wananchi wa Tanzania (Navy) (Uk. 3), na habari nyingine ni DC Ikungi awacharukia watoa mikopo ‘kaushadamu’ (Uk. 3), Fahamau tiba ya Mkungu (Uk. 15).












