Makumbusho ya Taifa yaahidi kwenda mbali zaidi kwa Huduma Bora

DAR-Makumbusho ya Taifa la Tanzania inaendelea kuungana na wadau mbalimbali ndani na nje ya nchi kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kaulimbiu ya "Twende Mbali Zaidi kwa Huduma Bora".
Katika salamu zake kwa wateja leo Oktoba 7, 2026, taasisi hiyo imesema kila mteja ni muhimu na kila huduma ni fursa ya kuacha tabasamu.

Taasisi hiyo imewataka wananchi na wageni kutoka nje kutembelea vituo vyake vya Makumbusho na Malikale vilivyopo nchi nzima kujionea urithi wa utamaduni na historia ya Tanzania huku wakipata huduma bora na ya kirafiki.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here