ZANZIBAR- Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo Novemba 6, 2026 ameongoza Kikao cha Tume ya Mipango Zanzibar kilichofanyika Ikulu, Zanzibar.
Katika kikao hicho, Rais Dkt. Mwinyi pia amewaapisha wajumbe wawili wa Tume hiyo, Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga na Mhe. Naddir Abdullatif Al Ward.
Tags
Dkt. Hussein Ali Mwinyi
Habari
Mudrik Soraga
Naddir Al Ward
Rais Hussein Mwinyi
Tume ya Mipango
Zanzibar




