ZANZIBAR- Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo Novemba 13, 2026 amewatakia wananchi wote Jummah Mubarak huku akiwaombea Mwenyezi Mungu awasamehe madhambi yao na azikubali dua zao.
"Nawatakia nyote ibada njema ya Ijumaa, Mwenyezi Mungu atusamehe madhambi yetu na azikubali dua zetu."
