Na DIRAMAKINI 24| Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo Ijumaa ya Novemba 27, 2026 amewatakia wananchi wote Jummah Mubarak huku akiwakumbusha kuwa uadilifu si ahadi bali ni matendo yanayopaswa kudhihirika katika maisha ya kila siku.
