Rais Dkt. Mwinyi awatakia wananchi wote Jummah Mubarak akihimiza upendo zaidi

Na DIRAMAKINI 24| Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo Novemba 20, 2026 amewatakia wananchi amewatakia wananchi wote Jummah Mubarak huku akitoa ujumbe mahususi kwao.
Alhaj Dkt. Mwinyi amesisitiza kuwa, upendo wa kweli unapaswa kuonekana katika mwenendo wa kila siku wa mtu.

"Upendo si maneno pekee, tuudhihirishe katika maisha yetu ya kila siku," amesema Rais Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo Ijumaa, Novemba 20, 2026.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here