Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 23, 2021Saa 1:32 nzito hotuba ya Rais Samia Bungeni, linaripoti Gazeti la Majira.


Manula atoa kauli ya kutimka Simba, linaripoti Gazeti la SpotiXtra

Diamond nyuma ya bifu la Harmonize na Rayvanny, linaripoti Gazeti la Amani.

Ni nderemo na vifijo Rais Samia akihutubia Bunge, linaripoti Gazeti la Jamvi.


Rais Samia aahidi kupaisha michezo, linaripoti Gazeti la Nipashe


Kutoka kauli za kejeli hadi...matumaini mapya kwa Wazanzibari, linaripoti Gazeti la AN NUUR

Ajira kuwagwa elimu, afya na polisi, linaripoti Gazeti la Uhuru.

Chama, Luis mpango mzima, linaripoti Gazeti la Mwanaspoti.


Ripoti ya CAG yaendelea kufyeka vigogo wa halmashauri nchini kila kukicha, linaripoti Gazeti la Mwananchi.

Post a Comment

0 Comments