Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 4,2024

ARUSHA-Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Paul Makonda ametangaza kuongoza operesheni maalum ya siku tatu ya kurejesha haki kwa wananchi. Makonda ameyasema hayo Mei 3,2024 wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Arusha.


Amesema kuwa, operesheni hiyo itaanza Mei 8 hadi 10,mwaka huu na itajulikana ni wiki ya haki kila mmoja atarejeshewa haki yake.





Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news