Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (picha ya keanza) akikabidhiwa barua ya kupita bila kupingwa katika jimbo la Ruangwa kwa nafasi ya Ubunge na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya ambaye ni Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ruangwa, Agosti 25,2020.Kulia ni Mkewe Mary Majaliwa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Picha ya pili Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha barua ya kupita bila kupingwa katika jimbo la Ruangwa kwa nafasi ya Ubunge baada ya kukabidhiwa barua hiyo na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya ambaye ni Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ruangwa, Agosti 25,2020.Kulia ni Mkewe Mary Majaliwa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Kwa habari au matangazo (diramakini@gmail.com) www.diramakini.co.tz