TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuidhinisha, Tundu Lissu kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA.
Pia imemuidhinisha Salum Mwalimu kuwa mgombea katika nafasi ya Makamu wa Rais.
Kwa habari au tangazo (diramakini@gmail.com)
