![]() | |
| Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole akisisitza jambo katika mkutano huo. | |
Polepole akizungumzia kuhusu diplomasia amesema, Serikali ya Awanu ya Tano chini ya Rais Dkt. John Magufuli imeweza kuimarisha uhusiano na mataifa mbalimbali.Zinazouwiana unaweza kusoma hapa.
![]() |
| Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Humphrey Polepole akiongea na wanahabari mjini Chato mkoa wa Geita, leo Ijumaa Septemba 11, 2020. |
Amesema, Serikali imefanikiwa kuimarisha
Diplomasia ya Uchumi na Siasa, ikiwemo kufungua Balozi kwenye nchi
zingine ili kukuza ushirikiano.
Tags
Siasa

