Mgombea Urais wa CCM Rais Dkt. Magufuli ahutubia wananchi wa Geita katika Uwanja wa Kahangalala mkoani Geita





Picha mbalimbali zikimuonyesha Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Geita mjini katika mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika leo tarehe 9 Septemba 2020 katika uwanja wa Kalangalala mkoani Geita. Juu ni sehemu ya wananchi wa Geita mjini wakisikiliza hotuba ya Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika uwanja wa Kalangalala mkoani Geita.


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news