Vodacom Tanzania yajisogeza karibu na wakulima kidigitali


Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (kulia)akiteta jambo na Kaimu Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Ziwa, Ahmed Akbarali na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega, Suleiman Sekeite katika uzinduzi wa mpango wa kujenga kituo cha huduma kwa wakulima kupitia program ya M-Kulima. Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC inakusudia kuanzisha kituo cha mawasiliano cha kidijitali kitakachowawezesha wakulima kuwasiliana na maafisa ugani kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu kilimo.

Kaimu Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Ziwa, Ahmed Akbarali akizungumza na wakulima wa mpunga na mahindi wilaya ya Nzega mkoani Tabora (hawapo pichani) katika uzinduzi wa mpango wa kujenga kituo cha huduma kwa wakulima kupitia program ya M-Kulima. Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC inakusudia kuanzisha kituo cha mawasiliano cha kidijitali kitakachowawezesha wakulima kuwasiliana na maafisa ugani kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu kilimo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news