BREAKING NEWS: Bernard Membe akiri kung'atuka lakini!

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe kupitia Chama cha ACT Wazalendo leo Oktoba 25,2020 amekiri kuwa barua iliyosambaa jana ya kujiondoa mbio za Urais ni ya ukweli, anaripoti Mwandishi Diramakini.


"Barua inayosambaa ya tarehe 24/9 ya kujiondoa kwenye mbio za Urais ni ya kweli.Niliandika baada ya kutofautiana na msimamo wa Viongozi wangu wa kutaka nimuunge mkono Tundu Lissu. Hata hivyo barua hiyo ilikataliwa kwa sababu maneno " msimamo wa viongozi wangu" yanawatia hatiani,"ameeleza Bernard Membe. Taarifa kwa kina punde hapa.


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here