Kurasa za Magazeti ya Kiswahili Oktoba 5,2020





























Leo ni Siku ya Mwalimu Duniani ambayo huadhimishwa tarehe 5 ya Oktoba kila mwaka, Umoja wa Mataifa (UN) siku hii kuwa muhimu zaidi kwa walimu wote kwa sababu ndio siku ambayo 05/10/1966,,umoja wa mataifa ulipitisha sheria mbili zinazoitwa;
1.The ULO/UNESCO Recommendation concerning the Status of Teachers, 1966.
2.The UNESCO recommendations concerning the Status of Higher Education Teaching Personnel,1967.
Sheria ya 1966,inaainisha yafuatayo kwa kifupi:
1.Haki za mwalimu,,kama vile haki za walimu katika vyama vya wafanyakazi na katika jumuhiya za kitaaluma,haki za walimu kikatiba, n.k
2.Majukumu ya mwalimu
3.Namna ambavyo mwalimu anatakiwa kuandaliwa
4.Namna ambavyo mazingira ya kazi ya ualimu yanatakiwa kuwa.
5.Namna ambavyo mwalimu anatakiwa kushirikishwa katika mipango ya elimu na serikali yake Kwa niaba ya timu nzima. 























Kampuni ya Diramakini Business Limited wamiliki wa www.diramakini.co.tz inawatakia walimu wote maadhimisho mema, wakumbuke kuwa tunawapenda na tunathamini sana mchango wao, hivyo pale ulipo ni jukumu lako pia kumpongeza Mwalimu yeyote na kumtia moyo kwa kazi nzuri anayofanya. Asanteni

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news