Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa Oktoba 25, 2020 unawasilishwa na mchambuzi Amina Saleh kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), maeneo ya mikoa ya Kagera, Geita na Mwanza yanatarajiwa kuwa na hali ya
mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya
jua.