Simba SC kucheza na Plateu FC Ligi ya Mabingwa Barani Afrika

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limepanga ratiba ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo Wekundu wa Msimbazi, Simba SC imepangwa kucheza dhidi ya Plateau United ya Nigeria.

Klabu ya Simba kama wataweza kuitoa Plateu itacheza na mshindi wa mchezo wa Costa do sol ya Msumbiji na Platnum ya Zimbabwe katika hatua inayofuatia.

Kwa mujibu wa CAF, mechi nyingine ni kati ya CS Sfaxien na Mlandege FC, Al Hilal Club na Vipers SC,FC Nouadhibou na Asante Kotoko,Buffles FC na MC Algers, Enyimba FC na Rahimo FC,
AS Otohô  na Al Merrikh, CR Belouizdad na Al-Nasr SC.

Post a Comment

0 Comments