Utabiri wa hali ya hewa Novemba 28, 2020

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku leo Novemba 28, 2020 unaletwa na mchambuzi Akili Mwangaza kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). 


Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), mvua na ngurumo zinatarajiwa katika ya maeneo mengi ya nchi.

Post a Comment

0 Comments