Rais Dkt. Mwinyi akimuapisha Maalim Seif Sharif Hamad


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, wakati hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar Desemba 8, 2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wac Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya kumuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wac Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya kumuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad.
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Viongozi wa Dini Zanzibar wakifuatilia hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia baada ya kumaliza kumuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe.Zuberi Ali Maulid na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Abdalla Juma Sadala (Mabodi) wakifuatilia hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kumaliza kumuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Hati ya Kiapo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad, baada ya kumuapisha.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya Kiapo ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Saharif Hamad, baada ya kumuapisha.Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe Zuberi Ali Maulid, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla Jaji Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Omar Othman Makungu, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe. Dkt. Mwinyi Talib Haji na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar. (Picha zote na Ikulu/Diramakini).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news