Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 13,2024

DAR-Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umesema,kutokana na changamoto ya intaneti inayoendelea nchini Tanzania, umesitisha ahadi zote za watu wanaotaka kutembelea ubalozi huo leo kwa ajili ya huduma, isipokuwa kwa wale wenye dharura ndio watahudumiwa tu.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa fupi iliyochapishwa katika ukurasa wa Twitter wa Ubalozi huo usiku wa saa 11:06 wa Mei 12, 2024 na badala yake watatoa taarifa wakati ujao.

"Due to the current state of the internet in country, all consular appointments for tomorrow are cancelled. We will reschedule for a later date. The Consular section will only be open for emergency services tomorrow."

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news