Rais Dkt. Mwinyi ateta wawakilishi wa Jumuiya ya Wazee Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee Zanzibar (JUWAZA) Bi. Salama Kombo Ismail. (klia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 25-2-2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu wa Jumuiya ya Wazee Zanzibar (JUWAZA) Bw.Amani Suleiman Kombo, akiwasilisha Taarifa ya Jumuiya yao wakati wa mazungumzo na Rais yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-2-2021.
Mzee wa Jumuiya ya Wazee Zanzibar.(JUWAZA) Bw. Hashim Bakari Kondo akizungumza na kusisitiza jambo wakati wa mazungumzo yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Jumuiya ya Wazee Zanzibar (JUWAZA) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Wazee Zanzibar (JUWAZA) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Katibu Mkuu(Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto) Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsiua na Watoto Bi.Abeida Rashid Abdalla na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee Zanzibar (JUWAZA) Bi. Salma Kombo Ismail na Mzee wa Jumuiya Bw. Hashim Bakari Kondo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Wazee wa Jumuiya ya Wazee Zanzibar (JUWAZA) baada ya kumaliza mazungumzo yao na kupiga picha ya kumbukumbu, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news